[Photo/courtesy]Rais Uhuru Kenyatta ametakiwa kuwaelezea wakenya uhusiano wake na kampuni ya Al Ghurair iliyopewa kandarasi ya uchapishaji karatasi za kupigia kura. Viongozi wa upinzani, pia wanamtaka afisa mkuu mtendaji wa IEBC Ezra Chiloba na mkurgenzi wa usajili wa wapiga kura Emmacualte Kasait kujizulu kwa kushirikiana na maafisa wa ikulu ili kushawishi kutolewa kandarasi hiyo. Tayari serikali kupitia naibu rais William imepuzilia mbali tuhuma hizo ikisema ni njama ya kupotosha umma.

Share news tips with us here at Hivisasa